03-08 2021 08:44
wrote:
It started in the year 1987, Zita ulikuwa mwema kwangu na kunipokea Mahakama ya mwanzo street tulipoishi pamoja kwa upendo kama neighbors. Tuliishi kama ndugu sinto sahau upendo wako kwangu, tulikula na kushirikiana pamoja wewe na wadogo zako pamoja na watoto wako bila kujali au kubagua rangi. Nakuombea Mungu Upumzike kwa Amani