14-07 2021 19:22
wrote:
Jamani mami umeondoka bila kwaheri? Kukupeleka kwa hospitali tulikuwa na imani kuwa utarudi nyumbani ukiwa salama. Ulituambia umepata nafuu.. Je uko wapi mbona umeniacha bila lolote? Niiendagha hao nikakaya na malagho? Kwanisigha kirenyi Mao wapo.. Lala salama mami wapo