Some unspecified error has occurred.

Jose Matata

November 29, 1986 - June 20, 2022

Jose was a god fearing and hard-working since childhood. He believed in God. He never gives up easily; I will always miss him.

More... Less...

  • Memories Memories
    One moment please, your post is being saved...
  • Image Image
    To attach an image drag & drop it here or
    One moment please, your post is being saved...
  • Video Video
    Upload a video on YouTube and paste the code here:
    One moment please, your post is being saved...
  • Condolences Condolences
  • Condolences Condolences
    One moment please, your post is being saved...

Filter: Show all labels

Anna Powell 2022-06-26 00:06:52 wrote:

Mdogo wangu umelala kwenye mauti ya milele, umelala.usingizi mzito mno lakini ni wa ushindi nyumbani kwa baba mbinguni kwenye makao mazuri na ya kudumu. Umeiacha dunia hii tunayopita kuelekea kwa baba. Asante mungu kwa zawadi ya maisha yako hapa duniani. Sikufanikiwa kuona pumnzi yako ya mwisho Jose, kwanini hukunisubiri unione au kunisikia sauti yangu mara ya mwisho! Oooh mungu nipe nguvu niweze kuagana nawe siku ya maziko yako. Jose umeniacha peke yangu mdogo wangu umeniacha na uchungu mwingi mno! Pengo ulilo liacha kamwe halita zibika. Oooh jamani! Nakumbuka ucheshi wako, ukimya wako na kila lililo jema kwako. Ulikuwa kijana mpambanaji hard working na ulikuwa hupendi kushindwa na kitu. Kama nikisema nichague dhamani yako kwangu basi wewe ni zaidi ya dhahabu. Nilikupenda sana mdigo wangu lakini mungu alikupenda zaidi. Nakumbuka tukiongea kwenye video calls nakuahidi nitamleta mtoto wangu umuone ukafurahi mno, lakini sote hatukujua mipango ya mungu. Lala salama mdogo wangu. Raha ya milele umpe eeh bwana na mwanga wa milele umuangazie, apumnzike kwa amani Amen.

Anna Powell 2022-06-26 00:06:52 wrote: Mdogo wangu umelala kwenye mauti ya milele, umelala.usingizi mzito mno lakini ni wa ushindi nyumbani kwa baba mbinguni kwenye makao mazuri na ya kudumu. Umeiacha dunia hii tunayopita kuelekea kwa baba. Asante mungu kwa zawadi ya maisha yako hapa duniani. Sikufanikiwa kuona pumnzi yako ya mwisho Jose, kwanini hukunisubiri unione au kunisikia sauti yangu mara ya mwisho! Oooh mungu nipe nguvu niweze kuagana nawe siku ya maziko yako. Jose umeniacha peke yangu mdogo wangu umeniacha na uchungu mwingi mno! Pengo ulilo liacha kamwe halita zibika. Oooh jamani! Nakumbuka ucheshi wako, ukimya wako na kila lililo jema kwako. Ulikuwa kijana mpambanaji hard working na ulikuwa hupendi kushindwa na kitu. Kama nikisema nichague dhamani yako kwangu basi wewe ni zaidi ya dhahabu. Nilikupenda sana mdigo wangu lakini mungu alikupenda zaidi. Nakumbuka tukiongea kwenye video calls nakuahidi nitamleta mtoto wangu umuone ukafurahi mno, lakini sote hatukujua mipango ya mungu. Lala salama mdogo wangu. Raha ya milele umpe eeh bwana na mwanga wa milele umuangazie, apumnzike kwa amani Amen.

Comments (0)

  • No comments.