29-06 2022 18:48
wrote:
Hadi sasa ningali nadhani ni jinamizi na katika kipindi kifupi kijacho, nitaamka na kutambua kuwa ni ndoto mbaya. Ila ukweli mchungu ambao nimekataa asilani kuukubali ni kuwa mwenzangu ametangulia mbele za haki. Nitamkumbuka Ronald kwa ucheshi wake pamoja na kiwango chake cha juu kwenye nyanja ya elimu. Nakumbuka siku moja tulipokuwa katika shule ya msingi-Kapsoya. Licha ya kufanya masomo manne kati ya saba kwenye mtihani aliongoza. Alimshinda aliyekuwa kwenye nafasi ya pili kwa alama mia moja. Ama jamii au mazingira haikutambua uwezo wake, siku zote nilimuona akifikia kilele cha ufanisi. Nikisema sana, nitakufuru. Naomba kutia kikomo. Mungu akulaze mahali pema penye wema Ronald Oduor Sumba.