25-11 2020 12:31
wrote:
Masikitiko makubwa tulipopata Habari za kifo cha George hapa MEWA Mombasa. George, alikuwa kiunganishi kikubwa baina ya MEWA na US Embassy katika project ya American Space Mombasa.
Tutakumbuka kwa support na tabasamu isiyofichika usoni mwake. A down to earth guy amabae kila mara anatujulia hali na kutaka kujuwa maendeleo ya Mombasa. We will surely miss him. Ulale ngali bwana George. Ninauhakika Mungu atakulaza pema na walio wema. Your smile will always be with us .